Stress Mbaya Sana.

Stress Mbaya Sana.

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Habari wakuu!
Jamani naomba mnipe idea nifanyaje kwa hili lililonikuta. Yaani asubuhi hii nimeenda Atm kutoa hela sasa baada ya hela kutoka nikachukua then nikachukua na risiti. Sasa kutokana na stress nilizokuwa nazo nimechana elfu hamsini nikatupa kwenye dustbin nikijua nachana risiti! Akili imesimama kwa muda wakuu nipeni idea nifanyaje màana hali si hali.
 
acha uongo, elfu hamsini kuichana kwa pamoja si easy, wadanganye wengine
 
Rudi benki ukawape hizo hela watapokea kama wanabyopokeaga noti chakavu....
 
Habari wakuu!
Jamani naomba mnipe idea nifanyaje kwa hili lililonikuta. Yaani asubuhi hii nimeenda Atm kutoa hela sasa baada ya hela kutoka nikachukua then nikachukua na risiti. Sasa kutokana na stress nilizokuwa nazo nimechana elfu hamsini nikatupa kwenye dustbin nikijua nachana risiti! Akili imesimama kwa muda wakuu nipeni idea nifanyaje màana hali si hali.
Weka picha
 
Pole sana, ungekuwa mnywaji ningekwambia uje tunywe mbege hapa kutwa nzima.
 
acha uongo, elfu hamsini kuichana kwa pamoja si easy, wadanganye wengine
Mkuu unaweza kudhani utani ila hata mimi siamini kama kweli nimefanya hiki kitu
 
Uongo uliotukuka,kwa dunia ya leo hata kipofu asingefanya huo upuuzi..
 
“[Tupeni] mahangaiko yenu yote juu yake [Yehova], kwa sababu yeye anawajali ninyi.”—1 PET. 5:7.

Unamtupiaje ni katika sala na kusoma neno lake....
Pia kazia mambo unaweza kufanya na si yale usiyoweza kufanya

pia ninakupa link ya article zuri litaloweza kukusaidia BOFYA HAPA
 
Mkuu unaweza kudhani utani ila hata mimi siamini kama kweli nimefanya hiki kitu
ukiunganisha noti 5 kuchana znaleta usumbufu, labda noti moja moja, na sidhan kama unaanza ya 1,2,3,4 ya 5 akili hairudi tuuuu! acha fix bro
 
Pole sana Mkuu, stress mbaya sana, kwa maisha yalivyo tight waweza sikia " Sumu ya panya kuonja BURE, ukaomba uonje kwa kukurupuka" kama hakuna msamaria mwema karibu basii maafa yapo mlangoni.
 
Habari wakuu!
Jamani naomba mnipe idea nifanyaje kwa hili lililonikuta. Yaani asubuhi hii nimeenda Atm kutoa hela sasa baada ya hela kutoka nikachukua then nikachukua na risiti. Sasa kutokana na stress nilizokuwa nazo nimechana elfu hamsini nikatupa kwenye dustbin nikijua nachana risiti! Akili imesimama kwa muda wakuu nipeni idea nifanyaje màana hali si hali.
JINYONGE
 
Dah...acha ujinga banaa... Toa nyingine.....unaweza kutoa hadi million 3😀😀😀
 
Back
Top Bottom