"Stress" na madhara yake.

"Stress" na madhara yake.

Dogo Lao

Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
94
Reaction score
38
Kwanza nianze kwa kuwasalimu wadau wote wa jf doctor na kuwashukuru kwa mawazo yenu na ushauri ambao umewafungua wengi. Leo tena jamvini nakuja na swali hili na nahitaji kufahamishwa jamani. 'Nimekuwa nikisikia sana hili neno "stress". Na kila anayelitumia anakuwa anatoa maelezo yake. Lakini pia huenda wakawepo watu wengine wenye matatizo fulani na wasijue kuwa chanzo ni stress. Hivyo wadau kwa anayelifahamu jambo hili kwa kina naomba atuambie,
1. Nini maana ya stress
2. Nini chanzo chake
3. Nini madhara yake
4. Nini tiba yake
 
mimi nazani stress nipale mtu au kitu fulani kinachoifanya akili yako ichoke ukikifikiria tuu au kikukutokea. Na madhara yake nimengi tuu baazi yake ni kupata bp, kupata matatizo ya kutoweza kulala vizuri usiku, hata ugonjwa wa kisukari kwa watuwengi unalinkiwa na stess
 
Kwanza nianze kwa kuwasalimu wadau wote wa jf doctor na kuwashukuru kwa mawazo yenu na ushauri ambao umewafungua wengi. Leo tena jamvini nakuja na swali hili na nahitaji kufahamishwa jamani. 'Nimekuwa nikisikia sana hili neno "stress". Na kila anayelitumia anakuwa anatoa maelezo yake. Lakini pia huenda wakawepo watu wengine wenye matatizo fulani na wasijue kuwa chanzo ni stress. Hivyo wadau kwa anayelifahamu jambo hili kwa kina naomba atuambie,
1. Nini maana ya stress
2. Nini chanzo chake
3. Nini madhara yake
4. Nini tiba yake
Dogo lao, ''Stress equals to dehydrartion, and dehydration will cause further stress, remember water is life.'', kwa mimi stress ndiye hasa husababisha kinga ya mwili kushuka kwa kasi kuliko kitu kingine chochote. American Institute of Stress wameandika hivi kwenye website yao:

[h=1]Effects Of Stress[/h] Stress is difficult for scientists to define because it is a highly subjective phenomenon that differs for each of us. Things that are distressful for some individuals can be pleasurable for others. We also respond to stress differently. Some people blush, some eat more while others grow pale or eat less. There are numerous physical as well as emotional responses as illustrated by the following list of some 50 common signs and symptoms of stress.


























[TD="width: 49%"]1. Frequent headaches, jaw clenching or
pain
[/TD]

[TD="width: 49%"]26. Insomnia, nightmares, disturbing
dreams
[/TD]

[TD="width: 49%"]2. Gritting, grinding teeth
[/TD]

[TD="width: 49%"]27. Difficulty concentrating, racing thoughts
[/TD]

[TD="width: 49%"]3. Stuttering or stammering
[/TD]

[TD="width: 49%"]28. Trouble learning new information
[/TD]

[TD="width: 49%"]4. Tremors, trembling of lips, hands
[/TD]

[TD="width: 49%"]29. Forgetfulness, disorganization,
confusion
[/TD]

[TD="width: 49%"]5. Neck ache, back pain, muscle spasms
[/TD]

[TD="width: 49%"]30. Difficulty in making decisions.
[/TD]

[TD="width: 49%"]6. Light headedness, faintness, dizziness
[/TD]

[TD="width: 49%"]31. Feeling overloaded or overwhelmed.
[/TD]

[TD="width: 49%"]7. Ringing, buzzing or "popping sounds
[/TD]

[TD="width: 49%"]32. Frequent crying spells or suicidal
thoughts
[/TD]

[TD="width: 49%"]8. Frequent blushing, sweating
[/TD]

[TD="width: 49%"]33. Feelings of loneliness or worthlessness
[/TD]

[TD="width: 49%"]9. Cold or sweaty hands, feet
[/TD]

[TD="width: 49%"]34. Little interest in appearance,
punctuality
[/TD]

[TD="width: 49%"]10. Dry mouth, problems swallowing
[/TD]

[TD="width: 49%"]35. Nervous habits, fidgeting, feet tapping
[/TD]

[TD="width: 49%"]11. Frequent colds, infections, herpes sores
[/TD]

[TD="width: 49%"]36. Increased frustration, irritability,
edginess
[/TD]

[TD="width: 49%"]12. Rashes, itching, hives, "goose bumps"
[/TD]

[TD="width: 49%"]37. Overreaction to petty annoyances
[/TD]

[TD="width: 49%"]13. Unexplained or frequent "allergy"
attacks
[/TD]

[TD="width: 49%"]38. Increased number of minor accidents
[/TD]

[TD="width: 49%"]14. Heartburn, stomach pain, nausea
[/TD]

[TD="width: 49%"]39. Obsessive or compulsive behavior
[/TD]

[TD="width: 49%"]15. Excess belching, flatulence
[/TD]

[TD="width: 49%"]40. Reduced work efficiency or productivity
[/TD]

[TD="width: 49%"]16. Constipation, diarrhea
[/TD]

[TD="width: 49%"]41. Lies or excuses to cover up poor work
[/TD]

[TD="width: 49%"]17. Difficulty breathing, sighing
[/TD]

[TD="width: 49%"]42. Rapid or mumbled speech
[/TD]

[TD="width: 49%"]18. Sudden attacks of panic
[/TD]

[TD="width: 49%"]43. Excessive defensiveness or
suspiciousness
[/TD]

[TD="width: 49%"]19. Chest pain, palpitations
[/TD]

[TD="width: 49%"]44. Problems in communication, sharing
[/TD]

[TD="width: 49%"]20. Frequent urination
[/TD]

[TD="width: 49%"]45. Social withdrawal and isolation
[/TD]

[TD="width: 49%"]21. Poor sexual desire or performance
[/TD]

[TD="width: 49%"]46. Constant tiredness, weakness, fatigue
[/TD]

[TD="width: 49%"]22. Excess anxiety, worry, guilt,
nervousness
[/TD]

[TD="width: 49%"]47. Frequent use of over-the-counter drugs
[/TD]

[TD="width: 49%"]23. Increased anger, frustration, hostility
[/TD]

[TD="width: 49%"]48. Weight gain or loss without diet
[/TD]

[TD="width: 49%"]24. Depression, frequent or wild mood
swings
[/TD]

[TD="width: 49%"]49. Increased smoking, alcohol or drug use
[/TD]

[TD="width: 49%"]25. Increased or decreased appetite
[/TD]

[TD="width: 49%"]50. Excessive gambling or impulse buying
[/TD]
As demonstrated in the above list, stress can have wide ranging effects on emotions, mood and behavior. Equally important but often less appreciated are effects on various systems, organs and tissues all over the body, as illustrated by the following diagram.
topic_effects.jpg

There are numerous emotional and physical disorders that have been linked to stress including depression, anxiety, heart attacks, stroke, hypertension, immune system disturbances that increase susceptibility to infections, a host of viral linked disorders ranging from the common cold and herpes to AIDS and certain cancers, as well as autoimmune diseases like rheumatoid arthritis and multiple sclerosis. In addition stress can have direct effects on the skin (rashes, hives, atopic dermatitis, the gastrointestinal system (GERD, peptic ulcer, irritable bowel syndrome, ulcerative colitis) and can contribute to insomnia and degenerative neurological disorders like Parkinson's disease. In fact, it's hard to think of any disease in which stress cannot play an aggravating role or any part of the body that is not affected (see stress effects on the body stress diagram) or. This list will undoubtedly grow as the extensive ramifications of stress are increasingly being appreciated. Additional information is available at Current and Past Stress Scoops, Current and Past Newsletters and elsewhere on www.stress.org
Links to sites with additional information on the effects of stress include:


Nitarudi. usisahau kutembelea, Utangulizi | maajabu ya maji
 
Mkuu sasa umenipa mwanga. Kumbe hili ni tatizo ambalo linaweza kuathiri kwakiasi kikubwa namna hiyo maisha ya mwanadam? nimekupata vizuri sana mkuu! Thanx.
 
@fadhili paulo, ungeelewesha namna unaelewa hapo ingekuwa vizuri zaidi kwa tusiolewa lugha kuliko kucopy na kupaste.
 
uko sahihi kabisa mkuu, bali hili ni jambo ambalo lazima nitaliandika, hata hivyo kuna google translator unaweza kutumbukiza aya hizo huko na ukatafusiriwa bila shaka ingawa si mia kwa mia. but I'll
 
uko sahihi kabisa mkuu, bali hili ni jambo ambalo lazima nitaliandika, hata hivyo kuna google translator unaweza kutumbukiza aya hizo huko na ukatafusiriwa bila shaka ingawa si mia kwa mia. but I'll

ahsante kwa uelewa wako.
 
Back
Top Bottom