Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,589 Reaction score 35,268 Jan 5, 2022 #2 Alaf wateja hawajuagi hzi changamoto , na unaweza kuwa umeagiza mzigo mapema kabisa mwez wa Tisa , af Ngoma ndo inatua mda huu , mda huo ushaambiwa maneno yote ya kejeli , ooh tapeli wewe , unachelewesha mizigo 😀
Alaf wateja hawajuagi hzi changamoto , na unaweza kuwa umeagiza mzigo mapema kabisa mwez wa Tisa , af Ngoma ndo inatua mda huu , mda huo ushaambiwa maneno yote ya kejeli , ooh tapeli wewe , unachelewesha mizigo 😀