Stress

Unawaza nini kwanza ?

Usipende kukaa peke yako kwa muda mrefu
Jichanganye na marafiki ndugu majirani..
Nenda misibani au kwenye sherehe ili usiwe mpweke peke yako.
Fanya mazoezi hakiksha siku yako inakua na ratiba na unaifata

Angalia tv,sikiliza music na cheza ikibidi

Kubali yaliyopita yamepita
 
Naomba ushauri jinsi y kuondokan n msongo wa mawazo
Zungumza na uwapendao.

Usikae kivyako vyako.

Toka nje tembea furah na kampani yako.


Tafuta mtu ambaye unahisi ukimshirkisha utakua umepunguza mzigo !!!
 
Ondoka uko ndugu yangu stress sio mzuri ni igonjwa unaokutafuna ndani kwa ndani mwisho wa siku unasababisja maradhi mazito
 
Jaribu kuwashirikisha viongozi wako wa dn tatizo linalokusumbua watakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…