Kuzuia ama kupunguza stretch mark za tumboni kwa wajawazito, asubuhi na muda wa kulala unakua una massage tumbo lako taratibuuu na mafuta ya Nazi Au Oliver oil.
Chunusi, paka unga wa dengu na limao Au na Nyanya baada ya masaa kadhaa nawa na maji ya uvuguvugu (usichoke).
Bila kusahau maji kwa wingi na mazoezi!
Na sala/dua.
Nawatakia safari njema wajawazito wenzangu[emoji7] M/mungu atuvushe salama AMEEN[emoji1431]