Strictly Kwa Wadada, Hizi hapa Nchi 10 Zenye Wanaume Ma "Handsome" Tanzania Haipo

Strictly Kwa Wadada, Hizi hapa Nchi 10 Zenye Wanaume Ma "Handsome" Tanzania Haipo

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Hello!

Kwa Wadada, kama unatafuta wanaume wenye sura nzuri, gentleman na wa ukweli Basi hama haraka hapa Tanzania na nenda mojawapo Kati ya Nchi hizo hapa 👇

 
Nenda na wewe ukapate handsome boy
Mkuu Mimi nitaenda Burundi kutafuta pisi Kama hizi hapa 👇
20230108_181317.jpg
 
Kenya and South Africa ni uongo, kwa Nigeria naunga mkono tena it can be mainly top 3. Handsome mens siyo lazima iwe natural it can be learned. Sasa kama most Tz mens don't wear and appear smart hata wawe handsome ni kazi bure.
 
Back
Top Bottom