Strictly Kwa Wadada, Hizi hapa Nchi 10 Zenye Wanaume Ma "Handsome" Tanzania Haipo

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Hello!

Kwa Wadada, kama unatafuta wanaume wenye sura nzuri, gentleman na wa ukweli Basi hama haraka hapa Tanzania na nenda mojawapo Kati ya Nchi hizo hapa πŸ‘‡

 
Kenya and South Africa ni uongo, kwa Nigeria naunga mkono tena it can be mainly top 3. Handsome mens siyo lazima iwe natural it can be learned. Sasa kama most Tz mens don't wear and appear smart hata wawe handsome ni kazi bure.
 
Hata wanaume wetu wakishika nafasi ya mwisho Ni sawa tu,maana sisi ke wa kitanzania hicho sio kipaumbele chetu
 
Hata wanaume wetu wakishika nafasi ya mwisho Ni sawa tu,maana sisi ke wa kitanzania hicho sio kipaumbele chetu
nyie mnachojali ni hela tu basi

Ila cha kushangaza na wenye hela nao wanalia

Sijui kipaumbele chenu ni kipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…