Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Yanga wameonesha nia ya kumsajili huyu mshambiliaji kutoka Kenya. Nasikia ni hatari huyu jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwango cha Kenya ni sawa tu na kiwango cha Katavi Rangers, kwanini Yanga wasisajili mafundi kutoka nchi zinazoujua mpira?Yanga wameonesha nia ya kumsajili huyu mshambiliaji kutoka Kenya. Nasikia ni hatari huyu jamaa.
View attachment 1478230
Mnajidhalilisha.Kwanza striker mwenyewe umemuona?
Kwamba hicho kisheti hujakikubali? Fundi mkata umemeMb zangu utalipa nakwambia
Huyu ni zadi ya Molinga mkuu. Yani Molinga akasomeMolinga naye walimsifia hivyo hivyo tu.
Yanga wameonesha nia ya kumsajili huyu mshambiliaji kutoka Kenya. Nasikia ni hatari huyu jamaa.
View attachment 1478230
Molinga naye walimsifia hivyo hivyo tu.
We jamaa utulipe mb zetu, nimeenda kwa speed kuna mwamba mwenyewe, kumbe ni kijamaa sijui kimekula kande mbichi, hata kunyanyua miguu ni kazi.Yanga wameonesha nia ya kumsajili huyu mshambiliaji kutoka Kenya. Nasikia ni hatari huyu jamaa.
View attachment 1478230