Striker jipya la Utopolo Gwede amelalamika kufanyika ushirikina na wenzake ndani ya utopolo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Zipo habari kuwa mshambuliaji Gwede wa Utopolo amelalamika kufanyiwa mambo ya kishirikina na wenzake kambini na kumfanya aonekane butu, Gwede analia kuwa kwenye mechi haoni vizuri goli, lkn kwenye mazoezi anaona vizuri na anatupia isivyo kawaida.

Jibuni hoja kwann majini FC mna ishu za kipuuzi namna hii.
 
Hujui mpira, unaleta ushabiki Nazi na Maandazi
 
huu ni uongo guede hajasema hayo
 
Huwa nawashangaa sana Mods hizi nyuzi za kijinga jinga ni kwanini hamziondoi na zinazidi kuleta ukakasi!.

Huu uzi umejaa Uchongamishi,Uzushi,Uongo,Uzandiki & Unafiki!,Je hii ndiyo ile inaitwa "UTANI WA JADI?".

Nimewahi kuandika hapa Uzi wa Kuwazodoa Makolo baada ya kula na kupigika kipigo kitakatifu kutoka kwa Wanaume wa Shoka Young Africans lakini kwasababu na nyie mods mliumizwa na uzi ule mliamua kunifungia kabisa kushiriki hili jukwaa la Michezo!

Sasa nawaomba Mods mtuondolee huu uzi la sivyo mtakuwa mmeruhusu na mimi kuanzisha nyuzi ambazo bila shaka hamtazivumilia mtanipiga Block!

YinYang
Xyln
Boqin
Mhariri
Diversity
 
Baada ya kuwa mtoa Taarifa feki maarufu za michezo Sasa umejiunga na Kundi la Walozi?
 
We ni sengerema
 
Na anaye post haya mashudu ni popoma mwenye ID nyingi
Na mods wanamjua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…