Striker Man City amwaga mauno 'Nasema nawe' ya Diamond

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Katika kuonyesha kazi za Nasibu Abdul aka Diamond aka Chibu zinakubalika kona zote na watu mbali mbali maarufu, striker nguli wa Manchester City amepost video kwenye Instagram page yake akimwaga mauno ya songi maarufu la Platnamuz Nasema nawe.

 

Attachments

  • image.jpg
    29 KB · Views: 499
Last edited by a moderator:
Huyo mchezaji wa Man city huwa ana tuhuma za kujihusisha na ndoa za jinsia moja( ushoga) kwahiyo usishangae sana mkuu.
 
Pia huyo mchezaji kila siku anapigwa bench, kwahyo hiyo ni njia ya kutoa stress
 
Dogo diamond hana mpizan east Africa na kati.haters mifupa itawatoka km wa Kule rombo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…