Striker mzungu na kocha wake warudi waliko kwao....

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Huyu mchezaji ni wa kawaida mno .sijui kwann yupo simba ?? Nani kamsajili yule jamaaa hata mimi sina mazoezi lakini haniwezi.chakusikitisha phiri hata bench hayupo .kingine cha hovyo ni kumtoa chama dk ya 58. Mchezaji ambae dk yeyote anaweza kukupa assist ukafunga goli rahisi......nimekaa na mashabiki wa yanga alivyoroka chama wakashangilia sana na wakasema hii game tunashinda kwa kuwa simba hawatakuwa na balance wala mipango tena.
 
Ukute walikuja kama royo tuwa wakajikuta wamesajiliwa kwenye mpira
 
Labda wanaoangalia mazoezi Bunju watuambie Kama amewai funga!
Yajayo ni machungu
 
Back
Top Bottom