Huyu mchezaji ni wa kawaida mno .sijui kwann yupo simba ?? Nani kamsajili yule jamaaa hata mimi sina mazoezi lakini haniwezi.chakusikitisha phiri hata bench hayupo .kingine cha hovyo ni kumtoa chama dk ya 58. Mchezaji ambae dk yeyote anaweza kukupa assist ukafunga goli rahisi......nimekaa na mashabiki wa yanga alivyoroka chama wakashangilia sana na wakasema hii game tunashinda kwa kuwa simba hawatakuwa na balance wala mipango tena.