Striking force ya Yanga

Striking force ya Yanga

Hivi ni kweli Kambole ameachwa
 
Wakiifunga Simba wanaenda nusu fainali klabu bingwa yaani
 
Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC
Natamani ungelitoa hilo hapo mwishoni.

All in all, Tuisila Kisinda ni chaguo sahihi kwa klabu ya Yanga. Maana ataongeza nguvu kule pembeni.

Na pia atasaidia kupunguza mashambulizi kwa wale full backs wanaopenda kupandisha mashambulizi.
 
Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC
Sijajua ni kwa nini Yanga kila kizuri wanachofanya wanakuwa hasa wanaangalia mechi yao dhidi ya Simba. Jezi dhidi ya Simba, udhamini dhidi ya Simba, transformation dhidi ya Simba, msemaji wa timu dhidi ya Simba, na hili la kwenye uzi huu la usajili ni dhidi ya Simba.

Ajabu ni kwamba Simba ikisema ina kikosi kibovu, inakuwa inaangalia dhidi ya timu zinazofika nusu fainali ya michuano ya vilabu vya Afrika!
 
Ushatoa hela ya mganga ya mechi ijayo ya simba utatolewa kwenye group la WhatsApp wenzako wameshatoa kima cha chini nasikia elfu kumi tu
 
Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC

Utopolo wapuuzi sana. Pambana na hali yenu, Simba ni level nyingine, wala haifikirii kupambana na takataka iitwayo Yanga au Utopolo, ilishahama huko!
 
Chanzo cha babu onyango kutaka kuondoka kolo fc.....unakijua?????

Chanzo ni kisinda[emoji23][emoji23]
 
Sijajua ni kwa nini Yanga kila kizuri wanachofanya wanakuwa hasa wanaangalia mechi yao dhidi ya Simba. Jezi dhidi ya Simba, udhamini dhidi ya Simba, transformation dhidi ya Simba, msemaji wa timu dhidi ya Simba, na hili la kwenye uzi huu la usajili ni dhidi ya Simba.

Ajabu ni kwamba Simba ikisema ina kikosi kibovu, inakuwa inaangalia dhidi ya timu zinazofika nusu fainali ya michuano ya vilabu vya Afrika!
Unaqnzaje kufikiria nje kabla ya ndani?
Kolo bhana!!!
 
Utopolo wapuuzi sana. Pambana na hali yenu, Simba ni level nyingine, wala haifikirii kupambana na takataka iitwayo Yanga au Utopolo, ilishahama huko!
Mwambieni karia awaondoe kwenye ligi yetu mwende huko mnakoona mnafit
 
Na makelele yote huwa mnafunga goli mbili moja mkikaza tatu
 
Back
Top Bottom