Natamani ungelitoa hilo hapo mwishoni.Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC
Sijajua ni kwa nini Yanga kila kizuri wanachofanya wanakuwa hasa wanaangalia mechi yao dhidi ya Simba. Jezi dhidi ya Simba, udhamini dhidi ya Simba, transformation dhidi ya Simba, msemaji wa timu dhidi ya Simba, na hili la kwenye uzi huu la usajili ni dhidi ya Simba.Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC
Mlete mzunguMakolo tuna Dejan, Ana mikimbio ya hatari sana.
Vyovyote iwavyo tuna hela mzee babuHivi ni kweli Kambole ameachwa
Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC
Level gani?Utopolo wapuuzi sana. Pambana na hali yenu, Simba ni level nyingine, wala haifikirii kupambana na takataka iitwayo Yanga au Utopolo, ilishahama huko!
Chanzo cha babu onyango kutaka kuondoka kolo fc.....unakijua?????Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC
Unaqnzaje kufikiria nje kabla ya ndani?Sijajua ni kwa nini Yanga kila kizuri wanachofanya wanakuwa hasa wanaangalia mechi yao dhidi ya Simba. Jezi dhidi ya Simba, udhamini dhidi ya Simba, transformation dhidi ya Simba, msemaji wa timu dhidi ya Simba, na hili la kwenye uzi huu la usajili ni dhidi ya Simba.
Ajabu ni kwamba Simba ikisema ina kikosi kibovu, inakuwa inaangalia dhidi ya timu zinazofika nusu fainali ya michuano ya vilabu vya Afrika!
Mwambieni karia awaondoe kwenye ligi yetu mwende huko mnakoona mnafitUtopolo wapuuzi sana. Pambana na hali yenu, Simba ni level nyingine, wala haifikirii kupambana na takataka iitwayo Yanga au Utopolo, ilishahama huko!
Simba haifikirii tu, imeshacheza nje na imeshaonyesha kuwa kucheza robo fainali CAF sio kitu cha kujivunia tenaUnaqnzaje kufikiria nje kabla ya ndani?
Kolo bhana!!!