Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Natafuta Location ya kufungua strip and Gentleman club in Dar!....
Kuna mtu ana idea ya any great location?... Nilikuwa nafikiria mitaa ya pale downtown karibu na zamani sheraton hotel/jumba la sanaa...
As member only private club....Fafanua, wengi hatujabahatika kubeba mabox, unamaanisha nini? jumba la sanaa panavujwa!
As far as strip club!.....for leisure...a nightvlub or bar where striptease is regularry performed....(men and women strip club)..other related task such as lapdancing..more explicity adult entertainment such as sex shows.....
Oh jumba la sanaa linavunjwa...any potential buyer?....that is very alright maana ile sehemu ndiyo nilikuwa naifikiria sana....pako quite!
Mmmmmmhhh bongo sasa naona machangudoa wanapata promoter wao,utandawazi unaleta mambo mengi mazuri na mabaya,tunakoenda na hizo club za kusasambua sijui kama tutafika,hatuna club lakini ukimwi unatufanyia finishing hivi,baada ya muda mfupi tu atakuja mwingine na kutaka kufungua redlight district.Watoto wetu wa uswazi jamaani tuwaweke wapi kuwanusuru na haya?maana najua hao stripers mtawatoa uswahilini kwetu tu kwa kuwa hawana uwezo,hawajasoma na hawana ajirana mtawadhalilisha halafu mtawalipa mshahara wa bar maid.
Kelly, sasa wewe unataka watu wasiwe wanalala nyumbani kabisaaa.
Hivi kwanza si nilisikia miaka ile kuwa Talk of The Town (Kwa Nyerere) walikuwa wana hii kitu?
Before you go any further,try to find out if the law allows this!!!!!!!!
You might find yourself landing in jail!
Before you go any further,try to find out if the law allows this!!!!!!!!
You might find yourself landing in jail!
Mdogo wangu ..ni mawiliLkutakuwa na medical check up before entering the club...so don;t worry about that...Na nilijua tuu swala la kwanza kwa watanzania ni Ukiwmi....this is a great business for reall na itakuwa handled in a business manner...classic and very profesionals....
Na hiyo medical check up itafanyika na Dr wangu wmenyewe na siyo kuniletea result za uchohcoroni....as a business mogul nachukulia life za wat u very serious.....and just you know i thought abot this before hata hujauliza honey!>....but thanks for great advice.....
Good and great location ya mambo ya stripping na mambo mengine ya erotic entertainment ni Chumbani kwako wewe na mwenza wako...! Mkiwa humo mtafanya kila linalo wajia kichwani na mnaweza kupeana tips kwa kiwango chenu na raha zenu...!Natafuta Location ya kufngua strip and Gentleman club in Dar!....Kuna mtu ana idea ya any great location?.... ambao wanajua kutumia na kutoa tips ya maana......
xoxo
Mdogo wangu ..ni mawiliL
Sheria ikichukua mkondo wake utajikuta pabaya sana
Ikipindishwa basi ujue utageuka kitega uchumi cha watu,.. wewe utachumia wengine.TZ zaidi ya uijuavyo.
Good and great location ya mambo ya stripping na mambo mengine ya erotic entertainment ni Chumbani kwako wewe na mwenza wako...! Mkiwa humo mtafanya kila linalo wajia kichwani na mnaweza kupeana tips kwa kiwango chenu na raha zenu...!
Ukishindwa hivyo... Sokoni kariakoo... is a good place!
Good luck!
Usiseme hukuambiwa.FYI unachotaka kufanya wako wahindi na wachina kibao wanafanya.Kasheshe wanazokumbana nazo si kidogo.Hutakuwa wa kwanza ..wala haitakuwa breakthrough thinking kama unavyofikiria.I thought I should just share with you.
downtown karibu ha zamani sheraton hotel/jumba la sanaa...
xoxo
Acha u-check sister, we juzi juzi ukikuwa kule leo hii unajidai hujui kama Sheraton inaitwa vipi leo na Nyumba ya Sanaa unaita jumba la sanaa, acha zako....na hizi ni longolongo huna lolote wala nini peleka story zako kwenye saloon za morroco.
uuh let me see are you on your period today??
anyhoo kwani nini tofauti ya nyumba ya sanaa na jumba la sanaa?...zote zina meaning sawa tuu!....na nimemsema former sheraton hotel siyo kila mtu anakumbuka jina la sasa hivi whatever Marina hotel....maana ile hotel imeshabadilishwa jina sana tuu mpaka watu wana loose track so usiwe na shaka mjomba
slow your roll dwag!......usikonde sana votu vidogo sana hivi....hasira hasara na it's not healthy kuanza kutupia mtu maneno kama hujui...please!....
Una uhakika nimetaja au kufikiria ngono (!?)...Mmh hapa bado sijakupata kabisaaa...come again!....
ooh acha kufikiria ngono fikiria monie!.....smell monie na siyo ngono......think different from others...you all don;t have to think the same....think of getting rid of that povert na siyo ngono!......talk business and not trashy!