Strip and Gentlemen Club in Dar!

heheh fidel inaonyesha biashara ulikuwa unaisubiri kwa hamu uwe premium mteja...............hadi muda huu haijafunguliwa! agggrr
 
heheh fidel inaonyesha biashara ulikuwa unaisubiri kwa hamu uwe premium mteja...............hadi muda huu haijafunguliwa! agggrr
We umejuaje kama haijafunguliwa? Wenzio tushaanza kujivinjari siku miiiingi:welcome:
 
biashara matangazo ...............na tangazo hatujaliona. inakuwaje? au ni kwa club members tu?!
 
How can such investment help this country out of poverty, diseases and ignorance?

[ the buttocks are like two married couples even though there is friction between them, they still enters the grave together.
 

BM, kwa nini unataka kufanya biashara ya kujiongezea dhambi bana!!!??>

Bongo si kama Newyork au London, mambo ya Bongo shagalabagala..Kwnye pesa BOngo hata majibu ya NGOMA yanatoka "NEGATIVE" , Watu wanahonga mpaka maombi ya Mfu na eneo la kuzika marehemu sembuse kupata majibu mazuri ya afya ambayo yatasaidia kuishi?>

Hiyo kitu ni kimagharibi zaidi, hacha tu tufie kule Sewa- Bunguruni, Jollies, na maeneo yetu ya K'makaburini..

strips kwa Bongo zitamaliza wengi kiuchumi na kijamii..na hakika ndio maana sheria hazijabadilika japo watu wanamadangulo ya uchochoroni kimya kimya twaingia huko.
 
Mkuu utaleta shida hapa mjini. Hayo majambo waachie watu wa Follies au kule Penthouse = Georgia avenue
 
Will you be stripping to your clients? are you going to be a lead entertainer in Sex shows?
 
Heheheeee... Who is a member of Dar Yatch club and has seen what happens there?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…