Strip Poker ilivyo Zagaa Ndani Ya Bongo .

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
83
Sikuamini Macho Yangu Niliyoyashuhudia kwani sikuelewa Huo mchezo Unachezwa vipi na unakuwaje ,baada ya kuona hali halisi nimeamuwa itakuwa mwanzo na mwisho kukubli mialiko nisio ijuwa.
 
Sikuamini Macho Yangu Niliyoyashuhudia kwani sikuelewa Huo mchezo Unachezwa vipi na unakuwaje ,baada ya kuona hali halisi nimeamuwa itakuwa mwanzo na mwisho kukubli mialiko nisio ijuwa.

What happened?
 
umetuacha hewani...
 
Strip Poker ndio nini, nielimishwe jamani mie mgeni kwenye hilo.,halafu umeacha stori ina-hang.
 
I just keep losing at this stupid strip poker game! I know when to hold 'em, know when to fold 'em, know when to walk away, and know when to run! But it's these hands that keep coming up on the flop! Ugh!!! What happens? Well, check it out and see for yourself!
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=wsU9oBlUm34&feature=related"]YouTube- Losing at strip poker[/ame]

Hapo juu ni maelezo ya huyo dada aliyeweka Video. Huu mchezo ni wa "kwa mfano karata" na kila ukifungwa, unavua kipande kimoja cha nguo. Inaweza kuwa mashindano ya mchezo wowote ule.
Sasa Mkuu, kama ulienda kwenye gambling na kukuta kitu kama hiki (ulialikwa) basi milele kumbuka wimbo huu hapa chini ambao bibie alichukua maneno yake:
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=kn481KcjvMo"]YouTube- Kenny Rogers - The Gambler[/ame]
 
Better you have learnt your lesson ndugu. Wakati mwingine unaweza kuwa embarrassed, na hadhi yako kwenye jamii ikabadilika kabisa! Kabla ya kujiingiza kwenye chochote, ask enough questions and be sure you know what you are in for! Pole!
 
 
Jamani teknolojia na maendeleo (positive or negative) vyazidi kukimbia kila kukicha!!! mambo mengine hayo....jana mtoto wangu aliniuliza zile tape zetu za zamani ni nini? si kosa lake ni kete linalojia.................
 
Mwee findo fya kisungu finanitoa ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…