Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
nimpitia hiyo link... mkenya mzalendo ana point! .. kiswahili sisi wenyewe wa tanzania tuna kiharibu na maneno ya kimtaani... mwisho wa siku wageni wengi wanaishia mombasa kwenda kujifunza kiswahili fasihi.. wa tanzania tuamke leoo hii kuna neno haina majotrooo! that's rubbish
Kama mtihani ulitungwa na wakenya kwa standard ya kiswahili cha kenya na kusahihishwa na wakenya hakuna mtanzania anayeweza kufaulu kiswahili kile. Walete hao watoto wao waje kufanya mtihani wa kiswahili cha Tanzania pamoja na watoto wa kitanzania then tunaweza kujadili matokeo hapa
The sceptics in Tanzania say deeper regional integration leads to other East Africans "stealing" their jobs, and possibly taking away their land.---------------we need solution on this
Lugha linalotumika sana hapo Nairobi ni "shenghttp://en.wikipedia.org/wiki/Sheng_slang".
Sheng http://en.wikipedia.org/wiki/Sheng_slangNdiyo sababu Wa Nairobi wengi hawasemi Kiswahili sanifu. Ukisema Kiswahili sanifu hapo Nairobi, wengine watasema unajigamba.
Lakini kusoma na kufahamu Kiswahili sanifu siyo problem kwa Wa-Nairobi. Mimi moja wao. Tangu utotoni mpaka leo I count sheng http://en.wikipedia.org/wiki/Sheng_slangas my primary language
Kuna kiswahili fasaha na kiswahili sanifu, kiswahili fasaha ni kigumu hata watanzania wengi hawakiwezi na wanaokijua kukitumia mi shida,
wanaokiweza ni wale wasomi wa lugha ya kiswahili,
Tofauti ni ipi?