Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Ingia pale http://www.tcu.go.tz/uploads/file/S...ploads/file/LOANS SUBJECT TO VERIFICATION.pdf but hii ni special orphans with no parents
gbrother ukifatilia waliowekwa pale ni yatima wasiokuwa na wazazi kabisa maanake both mama na baba wamekufa
da! kwa nn yatima ndo tutakiwe tuverify? why meeeeeeeeeeeeeeen.........!
labda pengine yatima wanatakiwa kuverify <kuthibitisha> uyatima wao.!!!
Hyo previous loanees inamaanisha nn?!
Sor kaka,wanaotakiwa kuverify wapo wangap kwa idadi yao?!mi pia nlsoma chuo flan mwaka jana
Ndio kaka nliomba!