Oya sikilizeni niwaambieni ninyi msiojua,hao wote wanaohitaji verification ni kuwa walishawai kupata mkopo kipindi cha nyuma bt mkopo ukasitishwa coz (MAY BE KUACHA CHUO,KUDISCO etc) na mwaka huu wameomba tena kupitita TCU na OLAS imewadetect,Kuna watu kibao nawaona hapo ambao walidisco 2010/2011 chuo flani and as far as i knw wanawazazi km kawa.PESA YA SERIKALI HAIPOTEI OVYO WAMEJIINGIZA KWENYE SYSTEM WENYEWE,WATALIPA PESA ZOOTE ATA HIZO ZA NYUMA.NAWASILISHA.