Study in Pakistan 2014-2015.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
STUDY IN PAKISTAN 2014 - 2015
The Ministry of Education and Vocational Training has received an official communication from the High Commission of The Islamic Republic of Pakistan in Dar es Salaam, announcing of the availability of opportunities to study in Pakistan Universities at degree level programs for the year 2014 - 2015.

===================

More information, visit MoEVT.
 
Hata iwe napewa kila kitu bure,afghanstan,pakistan,yemen,palestina,iran,iraq,somalia,sudan siwez kusoma
 
pakistan hata nilipwe na mshahara juu siendi ng'o....
 
Reactions: cpt
ila hivi vigezo vyao hawa MoEVT vinazingua!ma-prof wanazingua balaah.
 
Msihofu jamani, kabla ya kwenda utapata kozi fupi ya jinsi ya kubadili risasi kuwa maji na mabom kuwa popcorn.
 
Ngoja niangalie program zao, ikiwepo ninayoipenda ntaenda kusoma, kufa nini bwana hata ukiwa kitandani unaweza kufa tu, acheni uwoga.
 
Ngoja niangalie program zao, ikiwepo ninayoipenda ntaenda kusoma, kufa nini bwana hata ukiwa kitandani unaweza kufa tu, acheni uwoga.

Hata ivyo sio kila mtu anauwawa, kunawatu wanazeeka palepale.
 
Reactions: cpt
Wale wa Iringa mnaweza kuomba nafasi hizo!Kuliko kijipiga kamba mwenyewe bora huko kuna watu watawasaidia ninyi mbaki na moja tu- kusoma

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hata iwe napewa kila kitu bure,afghanstan,pakistan,yemen,palestina,iran,iraq,somalia,sudan siwez kusoma

Ukitaka kuipenda Tanzania tembelea nchi zote hizi,. Mimi nimebahatika kutembelea nchi zote hizi ulizotaja kasoro palestina na sudan na nikatokea kuipenda sana nchi yangu na naomba sana Mungu ailinde na awalinde viongozi wake.

Pakistan wakitoa kozi za jeshi au maswala ya kijasusi nitakuwa wa kwanza kuomba wako vizuri sana kwa sector hio. Wanajeshi wake ni warefu sana na wameshiba wanapiga zoezi sana na muda wote wako tayari.
 

Usemacho kuhusu majeshi ya Pakistan ni kweli, nlibahatika kuona mkanda wa mafunzo wa Osama bingwa la Maden mazoezi yale ni balaa.

Hivi wanajeshi wetu wanaenda kujifunza huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…