ahahahah mhh study tour kwenye mabanda
ya kuku....zangu????mmmhhhhh!!!!
Unakuja kuchora ramani ww sio
bure.....kwamba mkifika usiku hao kuku
wangu...mtawaanziaaje anziaje kuwatoa
bandani......
Hapa umenoa ama kitu..... #HATUAMINIANI
Mkuu Ngamba umefanikiwa kuanza tour yko...kama umefanikiwa unaonaje ukashare changamoto..!
kWANZA NITEMBELEE OFISINI KWANGU - GREEN HOPE ORGANIZANION - NI NGO; TUKO NYAMAGANA; TUNATOA USHAURI KWA VIJANA BURE.
BAADA YA KUJIRIDHISHA NA MAELEZO YAKO NITAKUKARIBISHA UTEMBELEE BANDA LANGU - KARIBU SANA.