We tumekushtukia,unataka kuanzsha mpambano wa vyuo humu tena na wakat tushakubaliana mabishano ya vyuo yakome.
ulikubaliana na nani?mbona hilo tangazo sijaliona?
Hi members. Kusoma sheria UDSM ni miaka 4, wakati MZUMBE ni miaka 3. kwanini ipo hivi!!. Au kuna kitu MZUMBE wanakosa ukilinganisha na UDSM!, Tofauti hasa ni nini kwenye Elimu inayopatikana. Maana kinachonishangaza zaidi ni kwamba atakayemaliza MZUMBE miaka mitatu na atakayemaliza UDSM miaka 4 watakuja kuanza wote LAW SCHOOL hapohapo UDSM, sasa mi naona kama kuna kauonevu hapa kwa wale wa UDSM, mwaka mmoja ni mkubwa sana. Inawezekana labda mi kuna kitu sielewi (mi sijasoma sheria). Wanaofahamu hii kitu vizuri hebu wasaidie kutoa utata huu.
litafute humu utaliona tu.
We tumekushtukia,unataka kuanzsha mpambano wa vyuo humu tena na wakat tushakubaliana mabishano ya vyuo yakome.
Kwanza ndugu mbona wewe humu JF una siku 3 tatu. Hayo unayosema umeyasikia wapi!, usichanganye facebook na JF. Nway sina huo mpango unaofikilia, hilo ni swala ambalo lipo na linaendelea. na wapo wanafunzi wa UDSM wanaochoshwa na hiyo miaka 4, na kuna wakati UDSM walitaka kufanya miaka 5, lakini sijui ilisitishwa vipi.

Achana na hako katoto. Akikua atakuwa na nidhamu.
tafuta,kuna thread ilikua hapa jamvin juzi ikikataza ligi za vyuo.
tafuta,kuna thread ilikua hapa jamvin juzi ikikataza ligi za vyuo.
Watu wengine kama ni wanaume mnaweza mkawa mashoga ndugu yangu. We ukisoma vizuri hiyo mada unaona ni ligi!. suala hapa kwanini ni 3 years, 4 years etc!!!, sio wapi bora wapi sio bora!!. mnatumiia masaburi yenu kusoma au!!. kama hauna la kuchangia pita kimya kimya. hujalazimishwa. sijui tusi gani linakufaa wewe!!, ungekuwa karibu yangu ningekung'atang'ata hayo masikio. Alaaaaaaaaaaah!!!!!!
Kama huna la kuchangia ndugu yangu nakushauri upite kimya kimya.