Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Leo kuna mpambano wa wanawake wa Boxing. Ilipangwa wapigane siku ya wanawake duniani ipa imebidi wapigane leo.
Kaa tayari kupata mtanange.
Tune Azam
Pambano la kwanza,
Sophia Hamis Vs Warda Selemani (Wote wageni kwenye ngumi)
Round nne
Mshindi: Draw/Sare
Pambano la Pili:
Leila Yusufu Macho Vs Mariana Msabila
Rounds Nne
Mshindi: Leila Macho
Pambano la tatu.
Halima Bandola Vs Asia Meshack
Rounds 4
Mshindi: Halima Bandola
Pambano la Nne
Najma Isike Vs Happy Daudi
Rounds 8
Mshindi: Najma Isike
Pambano la Tano
Zawadi Kutaka(Tz) Vs Mphatso Metaudzu(Malawi)
Rounds 6
Mshindi: Zawadi Kutaka
Pambano la Sita
Nasra Msami(Tz) Vs Chieza Homakoma (Zimbabwe)
Rounds 4
Mshindi: Nasra Msami
Pambano la Saba
Grace Mwakamene(Tz) Vs Luckia Ally(Malawi)
Rounds: 6
Mshindi: Grace Mwamamene
Pambano la Nane
Stumai Muki (Tz) Vs Chimwemwe Banda (Zimbabwe)
Rounds 6
Winner: Stumai Muki