Wild sniper JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 4,399 Reaction score 8,629 Jul 18, 2021 #181 TANMO said: Kuna Msukuma mmoja alinipigia afu ananza kunihoji wewe ni nani? Na uko wapi. Nikamjibu Mimi ni Kiongozi wa Malaika niko Mbinguni.. Nikusaidie nini? Jamaa lilicheka mpaka likaamua kunirushia elfu tano eti ya Vocha. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] fala kweli
TANMO said: Kuna Msukuma mmoja alinipigia afu ananza kunihoji wewe ni nani? Na uko wapi. Nikamjibu Mimi ni Kiongozi wa Malaika niko Mbinguni.. Nikusaidie nini? Jamaa lilicheka mpaka likaamua kunirushia elfu tano eti ya Vocha. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] fala kweli
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Jul 18, 2021 #182 Mtu anakuona kabisa umekata nywele halafu anakuuliza "Vipi umekata nywele?" Unamjubu "Hapana nimebadili kichwa"
Mtu anakuona kabisa umekata nywele halafu anakuuliza "Vipi umekata nywele?" Unamjubu "Hapana nimebadili kichwa"
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,303 Reaction score 23,064 Jul 19, 2021 #183 *Mambo vipi =shwari *ishu zinakwendaje =poa *mambo poa kabisa??? =................. Nilitaka kutukana
*Mambo vipi =shwari *ishu zinakwendaje =poa *mambo poa kabisa??? =................. Nilitaka kutukana
Mamserenger JF-Expert Member Joined Oct 14, 2019 Posts 1,156 Reaction score 2,092 Jul 23, 2021 #184 Unajiimbia nyimbo zako huku unafanya kazi zako ndogo ndogo unaskia Jiran naona unaimbaa....!!? Aah mi nika mjibu nikamwambia hata siimbi na Vibrate hapaa Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Unajiimbia nyimbo zako huku unafanya kazi zako ndogo ndogo unaskia Jiran naona unaimbaa....!!? Aah mi nika mjibu nikamwambia hata siimbi na Vibrate hapaa Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app