Mtu wa hivi unamjibu.. NAENDA KULA KITIMOTOMtu anakuona unaenda library kusoma,anakuuliza vp unaenda kufanya nn,mwambie naenda kucheza sebene,mtu anakuona unaingia mckitin/kanisani anakwambia unaenda kufanya nn,mwambie naenda kula mubia/kulamba povu
stori zimenoga anakupiga bega anakwambia eeh hee usiniambie! ! huku akikukodolea macho mimi nanyamaza.
Mmekutana njiani...
< Hivi ni wewe au nimekufananisha?
> Itakua ni mimi umenifananisha
< Umepotea sana ndugu yangu,upo kweli?
> Ni kweli nimepotea,ndo naenda kureport polisi wanisaidie kujitafuta
< Mbona una majibu ya kunya hivyo?
> Majibu ya kujamba nimeishiwa yamebaki ya kunya tu
Mmekutana njiani...
< Hivi ni wewe au nimekufananisha?
> Itakua ni mimi umenifananisha
< Umepotea sana ndugu yangu,upo kweli?
> Ni kweli nimepotea,ndo naenda kureport polisi wanisaidie kujitafuta
< Mbona una majibu ya kunya hivyo?
> Majibu ya kujamba nimeishiwa yamebaki ya kunya tu
Mtu anakuona umetulia home anakuambia "nakuona mzee !"
Unamwambia,acha uongo wewe mbona mi sikuoni mkuu!
mtu anaona unakunywa bia anakuuliza <siku hizi unakunywa bia?> mwambie hapana nakunywa mkojo wa punda