Ok,ni double u kei en di to you!lol jf bana meniacha hoi mecheka mie hadi basi, mie natoaga hapa nakrem kwenda kumchekesha mpenz tuwapo kitandani tunacheka mwisho tunaishia mpenz zima taa..... dear toa shuka...... swt kitanda kinapiga kelele lol kweli jf dozi kamili ukiitumia vzr wikend hiyooooooooo full kujiachia
A; Nasikia wa Bongo ukiwauliza swali mpaka nao wakuulize hawawezi to jibu, Ni kweli?
B; Wewe nani kakwambia?
Inategemea na mke uliyenaye,wengine shari tupu.Siku moja nilimtembelea ndugu yangu, tukiwa sebuleni tunaangalia TV mwanamume alinyanyuka na kuanza kuondoka, mkewe akamuuliza "UNAKWENDA KULALA?" mumewe akamjibu "NAKWENDA KUSIMAMA". Nilicheka sana siku ile, bali jamaa alikuwa mtu wa jokes sana.
mtu anakuambia "mkuu nasikia jana uliondoka na yule demu" unamjibu "hata mimi nimesikia pia"