Stupid question, stupid answer


you are so excel.
 

Majibu haya mnaweza kupelekana polisi
 
Mtu anafika hospital na kukukuta upo kwenye foleni kisha anakuuliza vp unaumwa? unamjibu hapana nauza sura tu na washkaji hapa..

Akikuuliza una umwa. Mjibu sina umwa. Labda nikutafutie hiyo umwa kwa Docta.
 
Hivi nyie humu ndani kama paradiso aisee,stress free jamii forum
 
Umepata ajali,mkeo anapewa taarifa anapiga simu huku analia
"Mume wangu umekufa"?
Unamjibu: Ndio mke wangu
 
Unaangalia soka....mtu anakutxt kuuliza updates. ...unamjibu
bila bila dakika ya 70....
Yeye anauliza tena...kipndi kipi?
 
Mtu anakupigia simu ucku saa saba unapokea anakuuliza umelala nini ?? ...... unamjibu hapana niko nje naota jua
 
Mtu anakuja kukupokea stend anakuuliza "umerudi??!"...mpe jibu
 
Unaangalia soka....mtu anakutxt kuuliza updates. ...unamjibu
bila bila dakika ya 70....
Yeye anauliza tena...kipndi kipi?


Unamjibu ni Isidingo.....
 
Reactions: RR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…