Style ya leo kumuaga marehemu

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
605
Reaction score
217
Leo wanasimba kwenye vibanda vya magazeti walikuwa wanasoma vichwa vya habari Kama wako kwenye kumuaga marehemuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Watani mjue kwamba vipigo vingine tuliwez kujitahidi kujibu kebehi zenu za kimpira, ila cha jana, hakuna mwenye uwezo wa kuwajibu watani, na athari zake zitadumu msimu huu wote
 
Leo wanasimba kwenye vibanda vya magazeti walikuwa wanasoma vichwa vya habari Kama wako kwenye kumuaga marehemuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Sijaona mtu anafurahia jamaa mwingine kuoa na yeye kufurahia kuzidi muoaji! Mashine apige yule wewe meno njeeeee! Bure kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…