style ya ushangiliaji ya kukundi cha tp mazembe

style ya ushangiliaji ya kukundi cha tp mazembe

bandubandu

Senior Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
102
Reaction score
28
Ktk mambo yaliyokuwa ya kujifunza na kuvutia kutoka kwa washangiliaji wa tp mazembe ni namna ambavyo walikuwa na mori na kuhamasisha wachezaji wao toka mwanzo hadi mwisho wa mchezo.Namna ile inasaidia hata wachezaji kujituma uwanjani,kilikuwa ni kikundi kdg tu cha washangiliaji takribani kati ya hamsini na sitini kilichokuwa kikipiga matarumbeta,saxerphone na kuimba kiliufanya uwanja mzima uwe unasikika sauti zao na ngoma.
 
Back
Top Bottom