Style za kuvaa scarf kwa wanaume

Somo zuri hapa mwenyewe nimepga skafu yangu too cold sana kwa place niko...ningeweka pcha ushahidi sema hii camera haiko na flash..
 
Ipo pouwa sana na kweli inasaidia sana baridi mimi huwa navaa sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…