Style za Nywele ..nyingine ni vibweka mtaani

Style za Nywele ..nyingine ni vibweka mtaani

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,829
Nakumbuka miaka hiyo style ya Afro ilibamba sana mitaani,na watu walikuwa wanapendeza sana yani kitu natural hair,

Lakini sahizi hao wenye style za afro wanaweka dawa nywele mwanaume mzima nywele kama kalamba mbwa bwana,
wengine viduku kama yule jogoo kishingo aliyenyonyoka manyoya,mi nachoka kabisa...

Style gani nyingine inayoikubali sana na wale wanaozikataa na kuchukia?
 
Boda boda na vishandu mnaitwaaa hukuu, kuna ujumbe wenuu hapa.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom