Stylish, fashion and outlook facts

Stylish, fashion and outlook facts

KJ07

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2,370
Reaction score
5,381
Tupeane facts mbalimbali za kimitindo na kimionekano.
Mimi ntaanza na hizi kadhaa.
Unaweza ongezea pia kama utapendezwa na thread hii...
 
Askari una waza fashion [emoji16]
 
Fact
Screenshot_20230318-155604~2.jpg
 
Haina
Madhara utayaona ukiacha
Wallah utakuta kesho umeweka tena
Hahaha..
Hayo si ndiyo madhara sasa. Yaani unakuwa tegemezi.
Ideally, black ingefaa kutumiwa na wenye mvi, lakini ajabu madogo wanasiliba kila Leo!
 
Back
Top Bottom