sua agrieconomics and busnes

sua agrieconomics and busnes

Hata haujui jina la prgrm ulochaguliwa wewe!Watakutafuna kichwa
 
Ebwana mi geezzle!hpful 2takuwa pa1 pnd izo!mincampus n km ngap tka town?!
 
mi napita tu...ila mi engineer mtarajiwa wa pande hizo!!!! hahaha!!!
 
sio kwamba cjui najua kwa mwenye hyo facult amenisoma ok natupia unavyotaka uridhike bachelor of science agribusiness and agrieconomics
hiyo iko mazimbu, na ndio yenye watu wengi i think zikifatana na btm na rural (karibu AEA mazimbu)
 
wale sua agrieco obvious 2takuwa mincampus co mbaya 2kajuana

With this English! You do not even know to spell the programme you are joining! Pull up your socks otherwise count yourself discontinued before even you start. This is SUA, not some other institutions.
 
Vp msul wa agrbusiness man?!vp market?!

Wee vipi? hata masomo yenyewe hujaanza unaulizia ulizia msuli. Kila mtu ana namna yake ya kusoma kaka, vingi huigwa lakini msuli hauigwi.........Tii msuli wako!!!. Na ukija hovyo hovyo tunanyofoa kichwa.
 
With this English! You do not even know to spell the programme you are joining! Pull up your socks otherwise count yourself discontinued before even you start. This is SUA, not some other institutions.

oky mzungu you always structure your english perfectly bt note itsnt my language i only intended to drop the idea note also through my poor english as you presented gave me pt 9 egm msitutishe 2tatoka 2 walioweza wananini
 
Au co kaka!n kugusa buku ad kieleweke wajomba!AEA oyeeee!
 
Back
Top Bottom