Nashangaa wiki ya tatu hii boom bado,wengine tumetoka nyumbani mzazi anajua tunapewa boom,leo hii wiki ya 3 bado hamjatupa,mnategemea nini?au mnataka mtudhulumu?au mnaingiza faida huko bank?mbona hamna huruma?bodi si wameshatoa fungu,sasa nyie mnaling'ang'ania la nini?mbona mnapenda kula kwa migongo ya watu?sasa si na nyie mrudi chuo kusoma kama mnaona tunafaidi?tupeni haki yetu bana,ACHENI HIZO