British economist
Senior Member
- Jul 14, 2013
- 104
- 14
Kutokana na boom kuchelewa , hali ya maisha imezidi kuwa ngumu mbaya huku ukiangalia idadi ya watu kubwa wanalalamika na kuishia kushindia mikate, hali hii inawafanya dada zetu even watafute alternative means za kupata fedha ya kujikimu,
vile vile linalouma zaidi vimetokea vikundi mbalimbali vinavyokopesha pesa wakidai wanatoa mkopo kwa riba nafuu
jamani hebu liangalieni wadau tutafute suluhu ya jambo hili kwa sababu linatuumiza mno .......inafikia stage hata morogoro town hukanyaki tunaishia tu kupoteza mawazo na handout.....sikieni kilio enyi wafalme wa nchi.