hii ni baada ya cozi kama,food science kukoxa watu,irrigation and water resourse,post harvest ingeneerings kuwa na nafasi,forest na mazngra nazo zmepungukiwa wa2..hii inatoa pia fursa kwa wanaotaka kubadl course kuwapa nafas kubwa ya kukubaliwa pnd watakapo kuhama course...OL THY BEST KWA MNAO TAKA KUBADILI COURSE!