Sua: Neema kwa wanaotaka kubadili course

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
hii ni baada ya cozi kama,food science kukoxa watu,irrigation and water resourse,post harvest ingeneerings kuwa na nafasi,forest na mazngra nazo zmepungukiwa wa2..hii inatoa pia fursa kwa wanaotaka kubadl course kuwapa nafas kubwa ya kukubaliwa pnd watakapo kuhama course ili mrad tu uwe na minimum requrements to be admitted...OL THY BEST KWA MNAO TAKA KUBADILI COURSE!
 
lugano5 uninikumbusha lecturer mmoja akiitwa Lugole nasikia yuko pande hizo za sua. Mtaalam wa komputa huyu yuko piece sana Mungu ambariki.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…