SUA: Ni Lini SUA mtaanzisha evening Class MBA-Agribusiness Tawi la Dar es salaam

SUA: Ni Lini SUA mtaanzisha evening Class MBA-Agribusiness Tawi la Dar es salaam

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,151
Bila shaka ni jambo lisilopingika kuwa kozi hii ni muhimu sana kwa mid carrier na wajasiliamali hasa katika sekta ya Kilimo, wengi wetu tumebanwa jiji Dar na masumbuko ya Maisha. Tungependa sana kujiunga na kozi hii kama ingeanzishwa Dar.
Tafadhali SUA liangalieni hili kwa undani fanyenyi feasibility, mtawafungulia milango watz wengi
Nawasilisha
 
JF wamebaki std 7, form 4 na form 6 yaani hakuna hata aliyeonyesha nia wala support .......! Nafunga account
 
Back
Top Bottom