Bila shaka ni jambo lisilopingika kuwa kozi hii ni muhimu sana kwa mid carrier na wajasiliamali hasa katika sekta ya Kilimo, wengi wetu tumebanwa jiji Dar na masumbuko ya Maisha. Tungependa sana kujiunga na kozi hii kama ingeanzishwa Dar.
Tafadhali SUA liangalieni hili kwa undani fanyenyi feasibility, mtawafungulia milango watz wengi
Nawasilisha