SUA, ni sawa mtu ku-disco kisa hujalipa ada?

SUA, ni sawa mtu ku-disco kisa hujalipa ada?

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
576
Reaction score
242
ume register chuo,ukakubaliwa,umesoma semister nzima,umefanya u.e,matokeo yametoka umefaulu,then unaambiwa umedisco sababu hujalipa ada?isitoshe ni chuo cha serikali(sua).
wenye uelewa juu ya hili msaada tafadhali.
updates
badala ya kudisco mwanafunzi anatakiwa kurudia semister husika.na kosa kubwa ni kwamba wanafunzi walilipa ada baada ya system ya kusajili kufungwa.
 
Mm sidhani kama unaweza kudisco,mayb watayazuia matokeo mpaka ulipe ada,but cjui utaratibu wa sua ukoje but sisi Ardhi hawana hizo
 
Mm sidhani kama unaweza kudisco,mayb watayazuia matokeo mpaka ulipe ada,but cjui utaratibu wa sua ukoje but sisi Ardhi hawana hizo

University academic requirements and regulations are governed by TCU policies, consult TCU
 
Utakuwa kunapaper hakupiga huyo labda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Labda utaratbu wa chuo husk cz udom we had dat issue bf but Mh Pinda solved for us a new students government
 
Udom sup ndio unaweza isi lecture kasababish but discont ni big issue under adminstr .....
 
Kuna shida nyingine si ada tu. Chumguza vizuri kama course ulizosajili ziko vizuri.
 
Kiukwel SUA wana mambo ya ajabu sana maana mm mwenyewe washikaji zangu nilikuwa nao class hapo sua wamedisco kisa ada. Na ukiwauliza wanakwambia ni mambo ya suasis hayo
 
Mnachagua tuu vyuo vya kijinga km hivo mnahadaika na majina kwan lazima muende vyuo ambavyo havina fair km hivo mwisho wa siku mnapoteza malengo km hivo disco lisilo na sababu
 
Mnachagua tuu vyuo vya kijinga km hivo mnahadaika na majina kwan lazima muende vyuo ambavyo havina fair km hivo mwisho wa siku mnapoteza malengo km hivo disco lisilo na sababu
Wewe ndio mjinga hujui vyuo vya kijinga ni vipi.
 
Wewe ndio mjinga hujui vyuo vya kijinga ni vipi.

Ndo wale wale mnahadaika na majina ila utendaji mbovu hivi kuna tatizo gani kusoma mzumbe chuo kinasifika kizur ukidisco kunareason iko active ikakufanya udisco sasa ww mtu anapigwa disco kisa hujalipa ada mwisho wa siku unacut your dream mda mali kijana amka usiwe mjinga wa kuchezea mda
 
ume register chuo,ukakubaliwa,umesoma semister nzima,umefanya u.e,matokeo yametoka umefaulu,then unaambiwa umedisco sababu hujalipa ada?isitoshe ni chuo cha serikali(sua).
Wenye uelewa juu ya hili msaada tafadhali.

sheria inasemaje mkuu...mana tusijebaki kukilaumu chuo kwa sababu ya uvunjaji tu wa sheria na isitoshe hakuna aliefukuzwa kwa kutokulipa ada si vizuri kuja kdanganya uma....ila wale ambao hawakulipa wamepewa wiki moja ya kuandika barua ya kuomba kusoma tena coarse hiyo itakapotolewa tena......nas
isitiza tufuate sheria ya mahali husika ili mwisho usije laumu
 
Mto mada nina mashaka kwamba ume exaggerate hiyo taarifa! je, katika hiyo hangaika hangaika ya kutafuta ada haikutokea ukapitwa na test angalau moja? Manake, for what I know ni kwamba, kama una gap la test, basi utakuwa na "I" ambayo kama huna maelezo yake, hiyo hiyo moja inakupeleka home hata kama EU ulipata wastani wa A+! Kwa upande mwingine, walikuwa na ile sheria yao ya "No Compensation of Marks", je wameifuta? Kama hawajaifuta, then go back to your past tests/assignments. Kwa mujibu wa ile sheria, ikiwa for instance Test ina-contribute 40%, then ni lazima by average tests zako uwe umepata 20%. Kama umepata below 20%, paper ya mwisho hata ukipata 100% (thus contributing 60%) ni kazi bure coz' "no compensation of marks!" Jaribu kuangalia yote hayo!
 
ume register chuo,ukakubaliwa,umesoma semister nzima,umefanya u.e,matokeo yametoka umefaulu,then unaambiwa umedisco sababu hujalipa ada?isitoshe ni chuo cha serikali(sua).
wenye uelewa juu ya hili msaada tafadhali.
aliye disco atakuwa kafeli masomo!
 
Back
Top Bottom