Mto mada nina mashaka kwamba ume exaggerate hiyo taarifa! je, katika hiyo hangaika hangaika ya kutafuta ada haikutokea ukapitwa na test angalau moja? Manake, for what I know ni kwamba, kama una gap la test, basi utakuwa na "I" ambayo kama huna maelezo yake, hiyo hiyo moja inakupeleka home hata kama EU ulipata wastani wa A+! Kwa upande mwingine, walikuwa na ile sheria yao ya "No Compensation of Marks", je wameifuta? Kama hawajaifuta, then go back to your past tests/assignments. Kwa mujibu wa ile sheria, ikiwa for instance Test ina-contribute 40%, then ni lazima by average tests zako uwe umepata 20%. Kama umepata below 20%, paper ya mwisho hata ukipata 100% (thus contributing 60%) ni kazi bure coz' "no compensation of marks!" Jaribu kuangalia yote hayo!