Mr.samba de man
Member
- Sep 4, 2013
- 55
- 7
General Agriculture inalipa but Agronomy inalipa sana and iko tait I mean shule yake ukicheza una-graduate 1[SUP]st[/SUP] or 2[SUP]nd[/SUP] year.Vp wanajukwaa General Agric Vs Agronomy ipi ni nzuri na ukisoma waweza angalau kucema science inafaida.Ni mdogo wenu naomba ushauri mwakani naaply.Be blessed!!
Vp wanajukwaa General Agric Vs Agronomy ipi ni nzuri na ukisoma waweza angalau kucema science inafaida.Ni mdogo wenu naomba ushauri mwakani naaply.Be blessed!!
zote zinawakilisha application ya science but kama unataka uwe mzuri kwenye research za kilimo chukua agronomy
General Agriculture inalipa but Agronomy inalipa sana and iko tait I mean shule yake ukicheza una-graduate 1[SUP]st[/SUP] or 2[SUP]nd[/SUP] year.
nimekupenda sua ghafla kumbe unamaliza chuo mapema hivo! mi niko ud ntafanya process nihamie uko maana hapa tunasoma 4yrs.
Nenda ukaliwe kichwa.......kugraduate 1st or 2nd yr anamaanisha kufeli kama nia yako unataka hivyo wanakukaribisha.
Nenda ukaliwe kichwa.......kugraduate 1st or 2nd yr anamaanisha kufeli kama nia yako unataka hivyo wanakukaribisha.
acha kutishia halafu napataka Sua sana ungejua kwan hawamalizi hapo na Muhibili watasemaje?
May be you get me wrong bro!, sijasema wala sijamaanisha kuwa SUA ni pagumu pia siwatishi watu wasiende hapo maana mimi huwa napenda napomuona mtu anakuwa na kiu ya kusoma kwa maana hiyo sipendi kumkatisha mtu tamaa, huwa naamini kila kitu kinawezekana panapokuwa na nia.
Nilikuwa najaribu kumuelezea maana ya ku-graduate 1st au 2nd year. Isitoshe mimi sio mshabiki wa vyuo bali ni mshabiki wa manufaa ya kile mtu anachokipata kutoka katika Chuo na manufaa hayo utayaona kwa kuangalia contribution au msaada wa maarifa aliyoyapata mtu jinsi yanavyosaidia jamii kwa ujumla kutokana na elimu aliyoipata kutoka katika Chuo husika.
Nakutakia mafanikio mema kama una mpango wa kwenda kusoma huko SUA na hakikisha unaenda kuitafuta elimu ili ikusaidie. Vile vile huwezi kufananisha elimu ya Muhimbili na SUA kwa maana fani zinazofundishwa katika vyuo huvyo viwili ni tofauti na ugumu Mi nadhan umesema hukua na maana hiyo umeelewekwa vema ila hapa mwisho ndo umeharibu kidogo.jioni njema