Jamani wadogo zangu mliochaguliwa SUA mjipange kwa kitabu pale wale jamaa hawana huruma wanakula vichwa. Utajikuta unaaga mashindano semister ya kwanza.
Karibuni SUA
Huo ndo ukweli mkuu! Labda wale vichwa vya darasa zima! Tutakomaa mpaka kieleweke! Maana sasa tumechoka mara ooh kitabu cha sua sio mchezo, mbona wao wapo?