Sua sua sua...

Best Mzava

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
135
Reaction score
10
Dah wakuu wezangu me kesho narudi zangu arusha kwani nishafulia nimebakiwa na nauli 2,boom cjui wamegoma kutoa,kwa wanasua wenzangu niwatakie masomo mema,ngoja nikajichange kwanza
 
Boom ha2japewa mpaka sasa,maisha yameshakuwa magumu
 
Dah wakuu wezangu me kesho narudi zangu arusha kwani nishafulia nimebakiwa na nauli 2,boom cjui wamegoma kutoa,kwa wanasua wenzangu niwatakie masomo mema,ngoja nikajichange kwanza

kila la kheri safarini kwako, hahahahahahaha
 
ugumu wa maisha ndo kipimo cha akili.......na kukimbia tatizo sio dawa ya tatizo.....
 
Ha ha ha ha ha,ngoja nivunge naona leo linaweza toka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…