Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,297
- 758
Jaman wakubwa huko juu niaje nnatuliza matumbo yenu sisi tunakufa njaa hapa Teofilo kisenge university(TEKU) mbeya
It might be below below standard....Your thinking capacity is below standard
You cant be serious. mfyuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!Sokoine University of Assignment (SUA).
80% ya wanafunzi wa SUA-SUA ni kutoka familia masikini, 15% ni inservise na 5% ni foreigner (most from Mozambiq). Haya gomeni sasa wakulima nyinyi muone balaa lake.
katika hali isiyoeleweka tuna jikuta tunashindia maji tuliyo download , km umeweza kununua mkate aya so ndo maisha hayo
Ikiwa wewe ni msomi na unashindwa kujieleza ,taifa letu lina kazi au bado una njaa.katika hali isiyoeleweka tuna jikuta tunashindia maji tuliyo download , km umeweza kununua mkate aya so ndo maisha hayo