SUA wazindua nyama zanizotokana na mimea

makenga 1

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
16
Reaction score
12
Taarifa hii ni kutoka Azam TV siku ya jumapili.

Chuo Cha SUA wameweza kuanzisha teknolojia ya mimea inayopandwa shambani na kuweza kuzalisha nyama inayoweza kuliwa na mwanadamu, mhariri wa taarifa hii ni Claud Mshana kutoka Azam TV.

Wataalam njooni mtuambie hiyo inakuwa ni nyama au mbogamboga

Pia soma:Matumizi ya nyama za maabara (Hazitoki kwa mnyama) yaidhinishwa Singapore
 
Majuu sasa hivi kuna vyakula vingi tu, hata burgers za watu wasiokula nyama. Ni mboga na siyo nyama. BTW kitu kinachofanywa na watu kutoka nchi ambayo imeshindwa kila kitu duniani kasoro ngono na ubishani wa kandanda siyo cha kuaminika.
 
Hii ni tech ya zamani na ilianzia huko China.. Tumezila sana hizo nyama bandia
 
Waharibifu sana
Wameharibu sana matunda, siku hizi mapera, maembe, mastafeli nk yanaliwa na wadudu vibaya mno
 
Waharibifu sana
Wameharibu sana matunda, siku hizi mapera, maembe, mastafeli nk yanaliwa na wadudu vibaya mno
Hiki chuo hakijawahi kutupa faida yoyote watanzania.

Kuna Uzi humu niliwahi soma jamaa alikuwa anasoma hapo Cha ajabu alichoona ma professor wao Wamefungua bar tupu kuhusu hata ufugaji ama kilimo hawana habari.
 
Ukuli nyama ila unataka matunda yenye ladha ya nyama?!

Nliona kwa tv wanachukua mbegu za parachichi wanazitengeneza zinakua ngozi wanaiita vegan leather duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…