Sua

Sua

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2010
Posts
850
Reaction score
103
Mzumbe(1).jpg

Is this SUA?. Does the place look this beautful?
 
Kanyafu 'Do the place looks this beautful' ni kiingereza cha wapi hicho? Usiwatie aibu wasokile wanaofahamika kama wasomi mahili wasio na vyeti vya kufoji!!
 
hahahahaaa!!
 
kiingereza kinauma jamani....tuvumiliane hivyo hivyo
 
Kanyafu 'Do the place looks this beautful' ni kiingereza cha wapi hicho? Usiwatie aibu wasokile wanaofahamika kama wasomi mahili wasio na vyeti vya kufoji!!

OK na asanteni sana. Nimekubali. Nimebadilisha. Kumbe kuanzia neno la kwanza nilichemsha! Preta, nimekusikia, nitakufia.
 
Kanyafu 'Do the place looks this beautful' ni kiingereza cha wapi hicho? Usiwatie aibu wasokile wanaofahamika kama wasomi mahili wasio na vyeti vya kufoji!!

jamani? yaani mtu anajua halafu hajui saaaan! Where are we heading to? Mungu wangu!!!!
 
Hongera KN, nadhani hilo ni jengo la maktaba. Panapendeza kwa kweli!
 
Back
Top Bottom