faru rajabu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 221
- 359
Ukiona wako kimya jua kuna sehem wanajilipa...hivi hili suala la annual increment kwa Tanzania ni la kikatiba au limekaa vipi? Mbona serikali imepiga kimya na kila mtu kapotezea as if halikuwahi kuwepo hapo kabla?
Nielimisheni
Annual increament ni mpaka raisi ahamue kwa sasa pesa tumzielekeza nunulia ndege na kujenga miradi ya maendeleohivi hili suala la annual increment kwa Tanzania ni la kikatiba au limekaa vipi? Mbona serikali imepiga kimya na kila mtu kapotezea as if halikuwahi kuwepo hapo kabla?
Nielimisheni