M Mgimiloko Member Joined Aug 15, 2012 Posts 24 Reaction score 2 Oct 3, 2012 #1 Wadau kwa loan iliyotowela hata vyuoni wameandika batch namba 1,je kuna hizo batch nyingine zitakuja? Ambao majina yetu hayajaonekana tuwe na moyo na hilo la batch nyingine?
Wadau kwa loan iliyotowela hata vyuoni wameandika batch namba 1,je kuna hizo batch nyingine zitakuja? Ambao majina yetu hayajaonekana tuwe na moyo na hilo la batch nyingine?
rayman m Senior Member Joined Feb 6, 2012 Posts 120 Reaction score 27 Oct 3, 2012 #2 Du! Hali ni mbaya ila tujipe moyo coz they are saying they are aware of this.